CHIEF NTINGINYA SECONDARY SCHOOL, ni shule ya serikali iliyopo mkoani tabora wilayani nzega (mjini). Inapatikana kilimita chache nyuma ya hospitali ya wilaya ya nzega, kwetu sisi "ELIMU NI UWEKEZAJI"
CHIEF NTINGINYA SECONDARY SCHOOL
mkuu wa shule akiwaapisha viongozi wa wanafunzi baada ya uchaguzi
Friday, 20 February 2015
walimu katika picha ya pamoja baada ya maaafali ya kuwaaga wahitimu wa kidato cha nne 2014
No comments:
Post a Comment